DAR: Mke na Mume wasimulia walivyoamua kufunga ndoa licha ya kujua mmoja ana VVU ”Kwa miaka 14, kila nikipima sina”(+Video)

Wanandoa Hamisi Selemani na Zawadi Bahange wakazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam wameamua kusimulia maisha yao kabla na baada ya ndoa huku wakitoa elimu juu ya virusi vya Ukimwi  hasa kutokana na mmoja wao kuishi na VVU kwa bila ya kumuambukize mwingine. Kupitia kwa wanandoa hawa ambao wana miaka 14 sasa wakiwa pamoja wamehojiwa na Luninga ya ITV Tanzania, basi msomaji na mtazamaji utaweza kuelimika kutokana na simulizi ya Bwana na Bibi Zawadi.

Related Articles

Back to top button