Habari

Daraja la Magufuli Mwanza kuanza kutumika mwezi mei

kiwa ni muendelezo wa kampeni ya MAMA HANA DENI ikiongozwa na @officialbabalevo akiambatana na jopo la waandishi wa habari kutoka media tofauti nchini wakitembelea miradi inayotekelezwa chini ya ilani ya chama cha mapinduzi kwa usimamizi mkuu wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania, Mhe. @samia_suluhu_hassan

Daraja hili la MAGUFULI limegharimu zaidi ya bilioni 720 mpaka sasa likiwa katika hatua za mwisho kukamilika huku kukiwa na matarijio ya kuanza kutumika mwezi mei 2025 kwa mujibu wa mhandisi Devota kafuku.

Lengo kubwa la serikali likiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji kwa wakazi wa mwanza na sengerema kupitia busisi. Ni wazi kuwa kampeni hii imeelemea kwenye kuibua mengi mazuri yanayotendwa na rais wa jamuhuri ya muungano Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa wananchi.

#MAMAHANADENI

Video Nzima ipo katika Akaunti yetuyoutube ya Bongo5

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents