Habari

Data za Internet wametoa bure, TRA wamekataa – Shigongo(+Video)

”Ameamuru Kampuni yake iliyopo hapa itowe Data bure kwenye Shule za Msingi na Sekondari katika nchi hii, Data ambayo thamani yake ni dola laki nane karibu na elfu thelathini, lakini Eti TRA wamekataa kutoa ‘exemption’ ya VAT.”- Mbunge wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo

Shigongo ameyasema hayo mbele ya Waziri Nape Nnauye wakati wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo Mei 19, 2023.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents