DC Gondwe aeleza alivyojipanga ‘RC Makonda ni mtu wa viwango vya juu’ (Video)

Mkuu mpya wa Wilaya ya Temeke Mhe @ggondwe alitembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na kufanya mzungumzo na @baba_keagan ikiwa ni siku chache toka aanze kazi ndani ya Mkoa wa Dar Es Salaam. Gondwe amesema amekuja kwenye mkoa ambao una mambo mengi hivyo amejipanga kikamilifu kuhalikisha anawahudumia wananchi.

Related Articles

Back to top button