DC Hai Ole Sabaya, awawashia moto wanaopandisha bidhaa bei mwezi mtukufu (+ Video)

Mkuu wa wilaya Ya Hai Lengai Ole Sabaya @lengai_ole_sabaya amesema sio busara kwa wafanyabiashara wa Mafuta ya kula Kupandisha bei katika kipindi hiki cha cha mwezi mtukufu kwani kwa Utafiti alioufanya hakuna Uhaba wa bidhaa hiyo, ila ni baadhi ya watu wachache wamekubaliana kupandisha bei kwa makusudi kwa malengo ya Kupata faida katika msimu huu.

Related Articles

Back to top button