Burudani

DC Jokate ambaye ni shabiki wa Yanga, awapongeza Simba SC kwa ‘jicho la husda’

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi mnono wa goli 3-0 dhidi ya waarabu kutoka Algeria, JS Saoura .

DC Jokate

Kwenye pongezi hizo, DC Jokate amewatumia pongezi kwa ushindi huo, huku akitumia jina la Watanzania.

Kama shabiki wa Yanga nawapongeza Watanzania wenzetu kwa ushindi huu muhimu Mungu Ibariki Tanzania.“ameandika Jokate kwenye ukurasa wake wa Twitter .

DC Jokate ni shabiki wa kutupwa wa Klabu ya Yanga. Jana simba ilipata ushindi huo muhimu kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents