Habari

DC Mpogolo kwenye Kongamano la China na Tanzania

Mkuu wa Wilaya ya Ilala pamoja na wageni mbalimbali wameshiriki kwenye Kongamano la kimahusiano baina ya wafanyabiashara wa Tanzania pamoja na China ambapo kongamano hilo limelenga zaidi kwenye sekta ya Kilimo na Umwagiliaji

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ameeleza namna walivyoonyesha miundombinu mbalimbali ya kukuza maendeleo baina ya China na Tanzania

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents