Dede ya kwanza kwa Ommy Dimpoz akiwa chini ya Sony , ashirikisha wasanii 3 wa Afrika Kusini (+ Video)

Baada ya kutanagazwa kuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo alimaarufu @ommydimpoz amesainiwa na lebo ya Sony Music Entertainment Africa ambapo Mkurugenzi wa Sonny Sean Watson alisema.

“Tumefurahia kuunganisha nguvu na Msanii kama Ommy Dimpoz kuufikisha muziki wake kwa Mashabiki wengi iwezekanavyo”

Na baadae @ommydimpoz kupitia Instagram yake aliandika kuwa ““Nimefurahi kujiunga na Sony nyumba ya Wasanii wenye vipaji duniani, ushirikiano huu ni hatua muhimu sana kwenye muziki wangu na umekuja wakati sahihi kwenye maisha yangu”

Hii ndio ngoma ya kwanza ya Ommy Dimpoz akiwa chini ya lebo ya Sony Music Entertainment Africa ambayo imeachiwa kupitia VEVO.

Kuitazama ngoma hii yote bonyeza link iliyopo kwenye bio ya Instagram yake au nenda YouTube andika Ommy Dimpoz DEDE ambayo amewashirikisha wasanii kutoka Afrika Kusini @djtira @dladla_mshunqisi na @princebulo

Bonfya hapa chini kuitazama:

https://www.youtube.com/watch?v=1I6hM7ZMKFY

https://www.youtube.com/watch?v=1I6hM7ZMKFY

Related Articles

Back to top button
Close