Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Densa wa Marioo Chino aingia kwenye muziki, atoa wimbo na S2kizzy

Game ya muziki wa Bongo Fleva inazidi kupata maingizo mapya na hii ni baada ya densi wa @marioo_tz @chino_kidd7 kuamua kuingia rasmi kwenye muziki.

@chino_kidd7 anaingia kwenye soko la muziki baada ya kuachia video ya ngoma yake mpya ya AMAPIANO aliyomshirikisha Producer Zombie @s2kizzy

#Zuma tayati ipo kwenye platform zote za muziki na pia ingia kwenye bio za Instagram zao kupata link ya Youtube na sehemu zingine

Kama tayati umeiona video ya @chino_kidd7 na @s2kizzy tuambie unawapa asilimia ngapi??

Dondosha comment yako hapa chini 👇👇👇#Bongo5Updates

Related Articles

Back to top button