BurudaniDiamond PlatnumzHabari
Diamond aahirisha show yake ya Rwanda, sababu hizi
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB @diamondplatnumz amewatupia lawama waandaaji wa show yake ya One People ambayo ilitakiwa ifanyike leo nchini Rwanda kwa uzembe.
@diamondplatnumz ameeleza kuwa anawaachia wanasheria wake kushughulikia uzembe ulijitokeza huku akiwaomba radhi Wanya Rwanda na kusema kuwa tarehe nyingine itatajwa.
@diamondplatnumz ameeleza hayo kupitia Insta Story yake.