Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabariMahojiano

Diamond: Acheni kujidharau, wasanii wa Nigeria hawapigi show Uarabuni

CEO huyo wa WCB @diamondplatnumz amefafanua namna ambavyo muziki wa Bongo Fleva unafanya vizuri Uarabuni.

@diamondplatnumz amefafanua namna ambavyo kuna msanii mkubwa alichemka kwenye show yake Oman ikabidi @mbosso_ atafutwe akamuokoe

@diamondplatnumz ameongeza kuwa hajawahi kuona msanii kutoka upande wa Mgaharibi mwa Afrika akifanya show kubwa Oman, hivyo amewaasa wasanii wenzake kuwekeza Uarabuni.

Related Articles

Back to top button