Burudani

Diamond aelekea Zanzibar kwa wiki mbili kukamilisha album yake (+ Video)

Staa wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz ametusanua kuwa anaelekea Zanzibar kwa ajili ya kukamilisha album yake. Ikumbukwe kuwa mapema le @diamondplatnumz amewathibitishia mashabiki wake kuwa Album yake itakuwa ya tofauti sana kutokana na maandalizi yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents