Burudani
Diamond, Alikiba, Harmonize na Rayvanny katika kipengele kimoja AFRIMA (+ Video)
Wasanii hao wanaofanya vizuri kwa sasa kwenye muziki wa Bongo Fleva wametajwa kwenye kipengele kimoja kwenye tuzo za ADRIMA ambacho ni.
2. BEST MALE ARTISTE IN EASTERN AFRICA
Darassa (feat. Alikiba) – Proud of You
Diamond Platnumz(feat. Koffi Olomide) – Waah
Harmonize(feat. Awilo Longomba & H baba) – Attitude
Rayvanny(feat. Inoss’B) Kelebe – Tanzania