Burudani
Diamond alinitaka WCB nikagoma- Mosses BSS (Video)

@el_mando_tz kupitia podcast ya B4TheFame amepiga stori na Moses Luca ambaye ni mshindi wa BSS msimu uliomalizika na ameelza sababu ya kukataa kujiunga na WCB ya Diamond
Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.





