Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz

Diamond alivyofunga kazi Tamasha la Utamaduni Ruvuma (Video)

Diamond mbele ya Rais Samia na show ya nguvu Tamasha la Utamaduni

Msanii wa muziki @diamondplatnumz ameonyesha ukubwa wake katika Tamasha la Utamaduni kwa kufanya show ya nguvu ambayo ilivuta hisia za maelfu ya Wananchi ambao walihudhuria tukio hilo.

 

https://www.instagram.com/reel/DAQu4zHNuNA/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents