Burudani

Diamond amefanya show tatu mfululizo,hiyo ndio maana ya ukubwa(Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Show za Wasanii kwenye Tamasha la Wasafi Festival la Mbeya.

Anasema katika kitu cha kupongezwa wasanii wameanza kuwa wabunifu jukwaani ingawa bado kuna uhaba wa Show za Live.

Anaongeza kuwa hata upande wa Sound na light za Jukwaa kuna kitu kimeongezeka tofauti na zamani au miaka yote.

Diamond ameonyesha ukomavu baada ya kufanya show siku tatu mfululizo, alitoka Sweden mpaka Mbeya akafanya show usiku wake na kesho yake Mbeya akafanya Show.

Diamond ana nidhamu kubwa sana ya kazi licha ya kuwa ni msanii mkubwa na mwenye mafanikio na huenda ndio anapowaacha wengine hapo, anasema @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents