Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Diamond amekanyaga pabaya kwa Zuchu, anampenda sana ila Zuchu awe mvumilivu

Juma Lokole kuhusu penzi la Diamond na Zuchu anasema kwannza nndio mapenzi yamekolea humuambii kitu Diamonnd kuhusu Zuchu kwa kifupi amekanyaga pambaya kimapennzi.

Anasema baada ya zile taarifa kusambaa kuwa Zuchu ameleta vurugu kwa Diamond zilikuwa za uongo kwani hakuna chochote kilichotokea na wala Zuchu hakuvunja TV yoyote kwa boss wake ambaye pia ni mpenzi wake.

Akiogea na @el_mando_tz Juma Lokole annasema kuwa kwa yale yalikuwa yanaendelea mtandaoni kati ya Diamond na Fantana Zuchu avumilie maana amependa na ile ni kazi tu cha muhimu hela iingie mfukoni.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents