AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

Diamond amekosea wapi kwenye Reality Show ya Young Famous and Africa??

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Reality Show aliyopo Diamond ya Young Famous & Africa.

Amempongeza Diamond na kusema ameanza kujitengeneza nje ya Muziki na huenda siku zijazo tukamuoa anakuwa muigizaji mkubwa zaidi.

Anasema Diamond anapita njia ambazo mastaa wakubwa duniani wanapita kama Ronaldo amekuwa Content Creater, Cantona, Pogba na wengine ambao wamekuwa waigizaji.

Kwenyw Reality Show hiyo watu wamemkosoa sana Diamond kwa kuigiza kama Play boy na kumkataa Zuchu.

Anasema licha ya Diamond kusema kuwa ile ni Uigizaji kama Uigizaji mwingine El Mando anasema maana ya Reality Show ni unaigiza vitu vya kweli, unayoyafanya au kuongea asilimia 80 ni kweli.

Kwahiyo yote aliyozungumza Diamond asilimia kubwa ndio ukweli wake ulivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents