
DIAMOND AMSIFIA S2KIZZY KU-PRODUCE NYIMBO 5 KWENYE EP YA FOA, ADAI WATU WANAPENDA KUSIKIA VITU VISIVYO NA MAANA
PoEP ya FOA inaendelea kufanya vizuri huku @diamondplatnumz akimsifia producer @s2kizzy ambaye amefanya nyimbo tano kati ya kumi.
Diamond amedai mtayarishaji huyo amethubutu kwani kufanya kazi zenye hadhi ya Kimataifa sio kazi rahisi.
Katika hatua nyingine @diamondplatnumz amedai muziki wa sasa umebadilika sana tofauti na miaka ya nyumba kutoa nyimbo zenye ujumbe mwingi.
Kuangalia full video tembele YouTube ya BongoFive
Written and edited by @yasiningitu