
Mkurugenzi wa kituo cha Wasafi Media @diamondplatnumz amemtambulisha Mtangazaji mwingine wa Michezo @oscaroscarjr
Hii ni baada ya kutambulisha Watangazaji wawili ambao ni @geraldhando na @maulidkitenge miezi kadhaa nyuma.
@oscaroscarjr anakuwa Mtamgazaji wa tatu kuondoka EFM na kujiunga na Wasafi media.