Burudani

VIDEO: Diamond amtolea povu zito shabiki wake kisa Wema sepetu

VIDEO: Diamond amtolea povu zito shabiki wake kisa Wema sepetu

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya WCB Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ameamua kubishana na shabiki wake mtandaoni kisa Wema Sepetu (Madame).

Povu hilo limemtoka Diamond kutokana na shabiki huyo ku-coment katika video iliyokuwa ikimuonyesha Diamond akiwa na wema kabla ya kuelekea Samaki samaki katika birthday party ya Dj wake Rom Jones.

Video hiyo Diamond aliiweka kwenye Insta stori yake lakini pia ilionekana kwenye Snap ya Madame,licha kuonekana wakiwa wote kabla ya party kuanza lakini baada ya party kuanza Diamond alionekana peke yake lakini Wema hakufika katika party hiyo.

Katika ujumbe ambao Diamond alimwandikia shabiki wake huyo alionekana kabisa kuwa na ukaribu na Wema sepetu.

Soma ujumbe wa Diamond kwa Shabiki wake pia angalia picha zote hapa chini 

 

 

 

Related Articles

4 Comments

Back to top button