Diamond amzawadia gari meneja wake Mkubwa Fella, atema cheche (Video)

Meneja wa Diamond Platnumz na Diwani wa Kata ya Kilungule Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella amefunguka kuizungumzia zawadi ya gari aliyozawadiwa na msanii wake huyo ambaye pia ni Rais wa WCB.

Wiki iliyopita Diamond alimtuma mtu kupeleka gari hiyo kwa Mkubwa Fella na meneja huyo alivyowasiliana na msanii wake alipokea pongezi za kazi nzuri na zakumuongoza pamoja na kutimiza miaka 20 kwenye ndoa.

Fella amesema anamshukuru msanii huyo kwa kutambua mchango wake katika safari ya muziki wake.

Kuangalia full interview tembelea ya Bongo5

Related Articles

Back to top button