Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Diamond anachukua Watangazaji wenye majina, Majizzo anachukua damu changa, kipi bora??

Hii ni vita ya mafahari wawili, wakurugenzi wa media mbili Wasafi Media chini ya Diamond na Efm chini ya Majizzo, kwa ndani ya miezi kadhaa Watangazaji watatu wa Efm wanajiunga na Wasafi Media.

Hii ilitokana na Efm kuwachukua Masanja Mkandamizaji na Lilian Mwasha kutoka Wasafi media, ni kama walimtekenya Diamond kwani aliannza na Gerald Hanndo na Maulid Kitenge.

Na sasa amemchukua Oscar Oscar, Majizzo alitangaza wameodoka Watangazaji wannne ambao ni Maulid kitenge, Gerald Hando, Oscar Oscar na B Dozen ila Wasafi wamejiunga watatu bado B Dozenn ambapo tetesi zinasema anarudiĀ  Media.

Kwa upande wa Majizzo alimaarufu Profesor yeye ameamua kuingiza damu changa kwenye media yake, ameleta Watangazaji ambao walikuwa hawajulikani ndio lengo lake.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents