Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzFahamuHabari

Kufuru kiasi anacholipwa Diamond Platnumz kwa show za kimataifa

Kwa mujibu wa jarida la Africa Fact Zone limeripoti kuwa staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz anatoza au analiprwa dola laki moja $100,000 ambazo ni zaidi ya milioni mia mbili T sh 234,374,600/=  kwa show za kimataifa.

Jarida hilo limeenda zaidi kwa kueleza kuwa mbali ya malipo hayo Diamond atapewa Ndege binafsi ya kumpeleka eneo la tukio lakini pia ziwepo chupa ya Whisky na chupa 12 za bia lakini pia chupa 24 za maji lakini pia taulo za kujifutia usowe ziwepo 12 na malazi ya ubora wa hali ya juu yaani chakula, Hoeli ya kulala ya nyota tano mpaka atakjapomaliza show yake.

Jarida hilo limeandika kuwa. “Diamond Platnumz now charges $100,000 per international show with the provision of a private jet. The host must provide a bottle of whiskey, 12 beers, 24 bottles of water at anytime, 12 face towels, quality accommodation and more.” Source: Nation Africa.

Related Articles

Back to top button