Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Diamond ananikubali sana na mimi namkubali sana – Shilole

Msanii wa muziki wa Bongo Flava @officialshilole mapema leo amepewa ubalozi wa bidhaa za @homebase.tz_ huku akitoa ushuhuda kuwa alikuwa akitumia bidhaa za brand ya #homebase kabla hata ya wamiliki wa brand hiyo kumtafuta kwaajili ya kumpa ubalozi wa bidhaa zao.

Mbali na hilo @officialshilole amempa makavu @officialbabalevo baada ya kusema @officialshilole hana sifa za kuwekwa kwenye kipengele cha msanii bora wa mwaka 2022.

@officialshilole ameongeza kuwa @officialbabalevo anaongea hivyo kwa sababu yeye hayupo.

Mbali na hilo Shilole amewaasa wazazi kuwa makini na vijana wao kwa kwa sasa maadili yameharibika sana.Mbali na hilo Shilole amewashauri vijana kufanya kazi na kuachana na tamaa zisizo za msingi.

Pia ameiomba Serikali kujitahidi kusimamia sheria ili kulinda mmomonyoko wa maadili nchini.

ameogeza kuwa Collabo yake na Diamond ipo njiani na mwandishi ya ngoma hiyo ni Diamond na sio yeye, Diamond ananikubali sana na mimi namkubali sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents