Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Diamond atasamehewa Harmonize, anaswali sana – Baba levo

Baba levo akiongea na @el_mando_tz ameweka wazi kuwa mastaa wawili ambao walikuwa na tofauti kwa muda mrefu Ommy Nyembo alimaarufu Ommy Dimpoz na Naseeb Abdul alimaarufu Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao.

Baba levo ameongeza kuwa wapokutana jana walizungumza wakiwa wote lakini baadae waliawaacha pekee yao na wakaonngea vizuri kwa lengo la kumalioza bifu lao.

Baba levo anasema kuwa siku hizi Diamond anaswali sana swala tano lengo ni kujiweka karibu na Mungu wake na hata akiwa ofisini ukifika muda wa swala huwa annawatoa watu wote nje ili yeye apate muda wa kumuomba Mungu.

Baba levo anasema Diamond kwa sasa ni kumaliza tofauti na watu wote ambao wanahisi anatofauti nao, amemtaja Harmonize na kusema alimsema vibaya sana Diamond lakini Diamond hana shida naye na atamsamehe tu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents