Burudani

Diamond apima afya mbele ya waandishi, apewa ushauri, aomba jina aandike mwenyewe (Video)

Msanii wa muziki @diamondplatnumz amepima afya mbele ya waandishi wa habari katika zoezi la upimaji afya bure linaloendeshwa na Wasafi Media kuelekea kwenye tamasha la Wasafi Tumewasha na Tigo ambalo litafanyika tarehe 30 mwezi huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents