Diamond apost msafara wa magari yake, aahidi kununua Lamborghini (+ Video)

Msafara wa magari ya @diamondplatnumz aahidi kununua gari aina ya Lamborghin. Kupitia Instagram yake @diamondplatnumz amepost msafara wa magari yake 6 ikiwemo gari yake mpya aina ya Rolls Royce

Diamond ameandika kuwa:-
#Repost @diamondplatnumz with @make_repost
・・・
Babies Day out… i can’t wait for my Bentley and Lambo to arrive in my Country 🇹🇿🙏🏼…. Song 🎵#IYO by @diamondplatnumz ft @focalistic @ntosh_gazi_ @mapara_a_jazz Available on all Platforms now! #SwahiliNation #Wasafi #IYOchallenge

Related Articles

Back to top button