Burudani
Diamond asimulia ya Kenya aeleza kila kitu ilivyokuwa

Akizungumzia kilichotokea kwenye Tamasha la Furaha City Festival, @DiamondPlatnumz alieleza jinsi anavyojituma kwa bidii kufanya muziki, sio tu kwa manufaa yake binafsi, bali kwa lengo la kuifanya dunia kuitambua Afrika Mashariki. Aliongeza kuwa anajivunia kufanikisha kuiuwakilisha Afrika Mashariki sehemu mbalimbali duniani.






