Burudani

Diamond atamsusa D voice wakija wasanii wapya WCB!!

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya D Voice kutoka WCB ya Mbwa.

Anasema ni kweli D Voice ameamua kubadilika kutoka Singeli na sasa Bongo Fleva lakini bado kuna kazi kubwa ya kufanya ili kufika mbali zaidi.

Anasema kila mwaka inaonekana D Voice yule yule na mwaka huu WCB wametangaza kusaini wasanii wengine inaweza kuja kuwa hatari sana kwa D Voice.

Anasema Pressure kwake itaongezeka na ukiangalia kwenye muziki bado hajasimama pekee yake, wasanii wakija wapya Upepo wote utahamia kwao.

Swali linakuja D Voice ameweza kusimama kama ilivyokuwa Zuchu na Mbosso?? Attention anayopewa na Boss wake pamoja na lebo itakuwa ile ile au itapungua??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents