Burudani
Diamond atangaza Show kwa siku mbili mfululizo – (Video)
Diamond Platnumz atangaza Tamasha litakalofanyika siku mbili mfululizo.
Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ametangaza kufanya Tamasha la siku mbili ambalo litafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Tamasha hilo litafanyika situ mbili kuanzia tarehe 26 na tarehe 27 katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Credit: El_mando_tz and Abbrah255.
Imeandikwa na Mbanga B