Burudani
Diamond atimiza ahadi yake ampa Mzee makosa milioni 10

Siku ya leo msanii @diamondplatnumz amekutana na Mzee Makosa ambaye alitamani kukutana nae baada ya kutazama mahojiano yake yaliyotrend kwenye mitando ya kijamii hatimaye Diamond amemkabidhi Mzee huyo kiasi cha Shilingi Milioni 10 baada ya kukutana nae na kuzungumza nae kama alivyokuwa akitamani
Video via Wasafi Tv
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255