Diamond atoa somo kwa wasiojua biashara ya muziki kupitia Youtube ilivyo, kama hujui uliza (+ Video)

Kupitia Post yake ameeleza namna ambavyo pesa inatengenezwa katika Mtandao wa YouTube na namna ambavyo wanatakiwa kuizingatia zaidi katika kupiga pesa.

SOMO:
𝗦𝗧𝗥𝗘𝗔𝗠𝗦 – Mauzo kwa njia ya Kusikilizwa

𝗩𝗜𝗘𝗪𝗦 – Mauzo kwa njia ya Kutazamwa
𝗗𝗢𝗪𝗡𝗟𝗢𝗔𝗗𝗦 -Mauzo kwa njia ya mtu kupakua

TANZANIA Platform inayopendwa kutumiwa na wanunuzi wetu wa Muziki ni YOUTUBE na Mauzo yao yanaitwa Views… Hivyo Mkisikia views tafsiri yake ni Mauzo 𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗘𝗡𝗜!

#𝗦𝗢𝗠𝗢 sio kila wimbo ukifikisha views hizo unaweza ingiza kiasi hicho cha pesa, pia inategemea wimbo wako umetazamwa sana kwenye nchi ipi na ipi…kwa sababu kuna Baadhi ya nchi views zake haziingizi kipato kikubwa… nchi zilizoendelea views zake zina kipato kikubwa kwasababu waweka matangazo wanaweka bajeti kubwa… Hivyo tujitahidi kuhakikisha kazi zetu zinafatiliwa na nchi za nje pia.

Related Articles

Back to top button