BurudaniDiamond PlatnumzHabari
Diamond atoa ya moyoni, amjibu El Mando kuhusu Show yake ya Marekani
Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO baada ya @el_mando_tz kuzungumzia show ya @diamondplatnumz nchini Marekani na kueleza kuwa kulikiwa na maeneo ya kuboresha.
@diamondplatnumz ameweka Comment yake na kueleza baadhi ya Changamoto alizopita nchini Marekani kwenye show hiyo.
Mbali na hilo @diamondplatnumz ametoa ushauri kwa @el_mando_tz na Bongo5 kuwa wawe wanahudhuria Matamasha/Matukio makubwa ya kiburudani yanayotokea sehemu mbalimbali duniani.
Maoni yako ni yapi kuhusu ushauri wa @diamondplatnumz kwa @el_mando_tz ??