Burudani

Diamond avunja ukimya

Msanii @diamondplatnumz amekanusha tetesi za Video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha yuko na mwanamke ajulikanaye kwa jina la Ritha ambaye inasemekana yuko naye kwenye mahusiano kwa muda mrefu #slide 👉

Kupitia #instastory yake Diamond amechapisha ujumbe unaosomeka hivi 👇

“Nimeona Kuna clip zinasambazwa Mtandaoni zinazonihusu…Clip hizo ni za zamani, Mwaka 2023, na zina zaidi ya Miaka miwili nyuma…Na Mwanamke huyo pia niliachana nae takriban miaka Miwili sasa… Lakini pia nilimueleza Mwenzangu niliyenae na Tukasameheana na kuanza Maisha Mapya….Mwanamke huyo sasa ameamua kutumia clip hizo na kuambatanisha na jumbe za Uongo kwa lengo la kuni blackmail na kutengeneza Fedha, jambo hili lishafikishwa katika Mamlaka Husika na Taratibu za Kisheria zinafuatwa. Shukran”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents