Burudani

Diamond awapa makavu forbes ‘Ingieni google vizuri mjue utajiri wangu sio kuniweka kwenye orodha ya kijinga (+ Video)

Kupitia Instagram yake @diamondplatnumz amelionya jarida la Forbes na kuwambia kwamba “Wakati mwigine waingie google kutafuti zaidi juu ya Utajiri wake na sio kumuweka kwenye orodha ya kijinga ya wasanii matajiri Afrika.

#Repost @diamondplatnumz with @make_repost
・・・
FORBES: next time google me to know what am really worth of, before putting me on your Stupid Richest African Musicians List!!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents