BurudaniDiamond PlatnumzHabari

Diamond awashukuru Watanzania kwa dua na maombi yao

Baada ya jana kuonekanaa amelzwa hospitalini, leo Kupitia Instagram yake ameandika kuwa; ‘Nawashkuru sana wote kwa Dua na Maombi yenu, simu na jumbe zenu zimenifariji katika siku hizi za kuumwa kwangu… sikujaaliwa kuwa na X-Mass njema Huu mwaka, Lakini namshkuru Mwenyez Mungu kwa kunibariki kuendelea vyema na Leo kunipa nguvu ya kurudi tena rasmi kwenye Mazoezi ya Show yangu ya CHEERS 2023 tareh 31 Dec pale @ramadaresortdar … Poleni kwa kuwacheleweshea Kuwatangazia bei na Vituo Rasmi vya tickets na niwashukuru wote mlokua mkiulizia tickets mara kwa mara…kwangu Mimi huu ni Upendo Mkubwa, saa 10 Kamili leo nitawatangazia Vingilio na Vituo Rasmi vya Kuuza tickets… Shabiki yangu Utaependa Kuhudhuria, jitahidi kuwahi kununua pindi tu nitangazapo maana Uhitaji ni mkubwa na Show hii haitokuwa Live kwa TV 🙏🏼
@Wasafitv @Wasafifm @wcb_wasafi#Cheers2023′

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents