BurudaniDiamond PlatnumzHabari
Diamond kinara kuingiza pesa Mtandaoni Afrika??

Kupitia jarida la Africa Facts Zone limefafanua namna Diamond Platnumz anavyoingiza mkwanja kupitia platform zake mtandaoni
Kupiyia mtandao wao wa Twitter wameandika kuwa @diamondplatnumz huingiza dola 48,000 takribani TSh. milioni 113 kwa mwezi kupitia mtandao wa ku-stream muziki wa YouTube ambao alijiunga nao rasmi Juni 12,2011.
Unahisi ni staa gani Afrika Mashariki anafuata baada ya @diamondplatnumz
🎥 via African Facts Zone. Written by @el_mando_tz