Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabariMahojiano
Diamond: Kuna msanii mkubwa show yake ilibuna Oman, ikabidi amuite Mbosso
CEO huyo wa WCB @diamondplatnumz amefafanua namna ambavyo muziki wa Bongo Fleva unafanya vizuri Uarabuni.
@diamondplatnumz amefafanua namna ambavyo kuna msanii mkubwa alichemka kwenye show yake Oman ikabidi @mbosso_ atafutwe akamuokoe
@diamondplatnumz ameongeza kuwa hajawahi kuona msanii kutoka upande wa Mgaharibi mwa Afrika akifanya show kubwa Oman, hivyo amewaasa wasanii wenzake kuwekeza Uarabuni.