BurudaniHabari

Diamond na Davido wamezungumziwa zaidi wiki hii

Kupitia jarida kubwa barani Afrika linalohusika na kutoa Takwimu mbalimbali mitandaoni la THE TOP CHART AFRICA.

Limewaorodhesha watu 10 waliozungumziwa zaidi mitandaoni wakiongozwa Israel Adesanya kutoka nchini Nigeria ambaye alipata ushindi kupitia MMA UFC wikiendi iliyopita.

Katika upande wa Wasanii @diamondplatnumz kutoka Tanzania na @davido kutoka Nigeria ndio wasanii pekee walioingia kwenye orodha ya watu waliozungumziwa zaidi mitandaoni.

Unahisi @diamondplatnumz na @davido wamezungumziwa zaidi kupitia matukio gani???

 

📸 via @topchartsafrica Written by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents