BurudaniDiamond PlatnumzHabari

Diamond na meneja wake Sallam Sk watinga Bungeni

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul Maarufu Diamond Platnumz akisalimiana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye alipowasili Bungeni jijini Dodoma kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2023/2924.

Diamond ni miongoni mwa wasimamizi na wamiliki wa vyombo vya habari ambao wapo katika ukumbi wa Spika kusikiliza bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka ujao wa fedha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents