Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabariMahojiano
Diamond na Zari wawekwa kikaangoni, watoto wahoji kuhusu kuachana kwao
CEO wa lebo ya WCB @diamondplatnumz akiwa na watoto wake wawili @princess_tiffah pamoja na @princenillan lakini pia mama wa watoto hao @zarithebosslady
@diamondplatnumz yupo nchini Afrika Kusini kwa shughuli zake za kimuziki wiki ya pili sasa.
@diamondplatnumz ameandika kupitia Instagram yake kuwa watoto wao waliwaita siku ya jana na kusema wana maongezi na wazazi wao 🤔🤔
Watoto hao wanamuuliza @diamondplatnumz kuwa mama yao @zarithebosslady amewaambia kuwa kuachana kwao chanzo ni @diamondplatnumz na hapo @diamondplatnumz ana wajibu kuwa yeye sio chanzo.
Tiffah na Nillan wanenda mbali zaidi wakimuuliza wameambiwa na mama yao kuwa @diamondplatnumz ana watoto wengine na wanawake wengine.
Ungekuwa wewe ndio @diamondplatnumz ungefanyaje??