Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabariMahojiano

Diamond: Nani hajui Alikiba, Harmonize na Rayvanny wasanii wakali??

@diamondplatnumz ameongea hayo wakati anatoa maoni yake na kuweka wazi kuwa ni ajabu sana watu bado wanashindanisha wasanii wakiangalia eti nani mkali.

Ametolea mfano kuwa nani hajui mpaka sasa @officialalikiba ni msanii mkali,?? Nani hajui @therealfidq msanii mkali nani hajui @harmonize_tz msanii mkali nani hajui @rayvanny msanii mkali.

Amwomba watu waache kushindanisha wasanii na waangalie nani ya kwenda mbele kimuziki.

Related Articles

Back to top button