Burudani
Diamond: Nimetoa mkono wa Eid kwa sababu ya Mungu, siku moja tutakufa hatutaishi milele (+ Video)
Diamond ameongea hayo wakati akiongea na wana habari alipomaliza zoezi zima la kutoa mkono wa Eid nyumbani kwao Tandale. Lazima tutoe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kwani siku moja tutaondoka hatuwezi kuishi milele.