Burudani
Diamond Platnumz awajibu wanaomchukia – (Video)
Diamond hashuki kimuziki, atangaza kufanya show Viwanjani tu
Diamond asema kofia yake sio ya ndele (UCHAWI) iliyoibiwma Dodoma ipi moja tu, Kofta aliyoivaa ndio iliyoibiwa Dodoma kwenye Tamasha lake na hawezi kuiacha kwa sababu ina bahati ya madili.
Diamond Platnumz akiwa katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam kwenye Mkutano na waandishi wa Habari.
Credit by El_mando_tz and Abbrah 255
Imeandikwa na Mbanga B.