Burudani

Diamond, Rayvanny na Mbosso akaunti zao za Youtube zimerudi baada ya kudukuliwa

Baada ya kudukuliwa kwa masaa kadhaa akaunti za wasanii Diamond Platnumz ambaye ni CEO wa lebo ya WCB pamoja na wasanii wake wawili ambao ni Ryavnny na Mbosso akaunti zao za Youtube zimerudi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents