Hii ni wiki ya maonyesho ya mavazi katika jiji la Paris nchini Ufaransa. @diamondplatnumz ahudhuria kwenye maonyesho hayo na hivi ndivyo alivyovaa.
Siku kadhaa tuliona mastaa wengi wa Nigeria wakihudhuria Louis Voitton Fashion Week akina Burna boy, Wizkid, Rema, Tems na wengine.
@diamondplatnumz aiwakilisha Afrika Mashariki awamu hii.