Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Diamond: Tasnia haina shukrani, ndio maana akina Wizkid na Davido hawasaidii wasanii

Staa wa muziki wa Bonho Fleva na CEO wa lebo ya WCB @diamondplatnumz ameamua kuyoa ya moyoni kuhusiana na mambo kadhaa kwenye tasnia ya burudani nchini Tanzania.

Akitoa moja ya neno ambalo linamaana kubwa sana kwamba Hii tasnia haina Shukran na ndio maana wasanii kama @wizkidayo @davido na wengine hawatoa msaada kwa wasanii wenzao kwa sababu tu ya Shukurani.

@diamondplatnumz ameongea hayo baada ya kaka yake @romyjons kuamua kuandika barua ya wazi juu ya juhudu anazofannya kusaidia wasanii wenzake kwenye label yake ya WCB pia nje ya label lakini kile anachokusudia kinakuwa sicho.

@diamondplatnumz ame comment kwenye post ile na kueleza yote haya.

Wewe una maoni gani kuhusu hiki alichoongea @diamondplatnumz unahisi ni kweli alichokisema??

 

Related Articles

Back to top button