Diamond: Wimbo wa Waah uliingiza milioni 89 baada ya kufikisha viewers milioni 32 (+ Video)

Baada ya kutoa somo kuhusu mauzo ya muziki katika ukurasa wake wa instagram, @diamondplatnumz ameonyesha mfano wa mafanikio na mauzo ya wimbo wake wa #Waah ambao amemshirikisha @koffiolomide_officiel

#DiamondPlatnumz amefanikiwa kuingiza kiasi cha Tsh.milioni 89.8 kupitia wimbo wake huo aliomshirikisha #KoffiOlomide kwa miezi 2 ilipofikisha views milioni 30 katika mtandao wa YouTube

Hadi sasa ngoma hii ina jumla watazamaji zaidi ya milioni 60 katika mtandao wa #Youtube kwa muda wa miezi 4.

Related Articles

Back to top button