BurudaniHabari

Diamond: Zuchu Kumbuka Simba anakupenda sana

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz ameandika ujumbe huu: “This week we commemorate and celebrate the reborn of the gifted, creative, loving, talented, and humble girl that Tanzania has been blessed with @officialzuchu …Thank you for continue making Wasafi, Swahilis, Women and the whole African continent proud…ni faraja kuona ulipoanzia hadi sasa kufikia kuwa miongoni wa Icons kwenye Bara la Africa.. Siku zote kumbuka, kila kazi ina mitihani na changamoto zake….jitahidi kuipokea kila inapokuja na kutafta njia sahihi ya kuishinda, maana tafsiri sahihi ya mtihani ni Kupanda daraja baada ya kufauru…Mwenyez Mungu akupe baraka na akulinde katika Maisha na safari yako hii ya kuchangia kuonesha Dunia kua WaAfrica tumebarikiwa kipaji kias gani… Remember Lion Loves you always 🌹❤️🎂🍾”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents